Bash Pale Jerry City

12 1 0
                                    

Iliwaga kajabling Friday pale mi na maboiz wangu wa pawa  kina Pinto, Madaga, champee wa Kanairo ndogo ,Mamitoo, Paps na Kazae. Kama kawa kula tako ni Sheria ikifika ni the day. Saa kila msee aliwaga ashateka isipokua Sparta. Sparta aliwaga namble sana kwa mangoko aliwaga no msee anamedi wasee wapige kiswahili alafu yee aadisie tu kula tako.

Saa the day mamorio wake waliwaga washaamchanuka na waliwaga radake mbaya. Paps nayeye hakuaga anawekaweka Sparta aliwaga anamroast vilivyo na saa ii the day aliwaga ashampasha kuhusu ii story yake ya kudandia fom kila siku. Kama kawa Sparta aliwaga msee wa maground na kugeuza riba kila masaa, sa leo alifanyaga makosa akamouth mbele ya Pinto vile yeye huwaga na kiswahili.

Pinto akaamua niaje leo ndo the day, akamchapia niaje ,tuekelee jongo moja(Thao) ule anawin anabeba jongo mbex( Thao mbili). Sparta na vile alikua mbaya akaekelea ile Thao yake aliwaga amejisundia karibu wiki mbex na yye akajua izo weng lazima aanue zote mbili. Mc naye ni nanii Mc supamakazz pale akaamua niaje masaa niya ridim bana. Ai madenge nao wakaamua niaje nikuchora Saba sawa? Nakuambia maboiz navile waliwaga wamemedi ii masaa kila msee nikuanua wake baana. Sema tako kukuliwa.

Sparta na yye aliwaga amechafua luku ingine apo ya kimauru mbaya sana. Kiatu iliwaga lagunya, sawa? Mambling zingine apo ngori ngori katoja kaliwaga kaplain na katishow kameprintiwa kinyambi fameree. Wasee wanachangamka asapo kula tako isipowa keki flani apo. Wueeh!! Unasemanga keki nanii nakuambia apo Kuna keki iliwaga imepigilia kamini unakemba tu mabrown thighzz apo mdagimdagi, ai Sparta na yye huwa hagoa goi. Aliamua kaa mbayambaya lazima atakuta roroo kitakacho zaliwa atanyonyesha alaa.

Si akakapiga Kwanza eye contact apo mlesmles akimedi keki imzoom. Ai keki haimloli, akaamua kumuita, "pssspsss?? ,oya keki! Cheki ebu zoom ivi kiac". Waah!! Kumbe Sparta nayeye aliwaga amegonga 15 nil. Msupa alimskumia jicho, jicho tu. Sparta akaamua kuondokea tu  juu wuehh!! Kaa io ni jicho unarushwa tu juu ya kumtaja na je kumwomba tako si uneza ata mangwa hedi ama ngotoo. "Aaaiiih kwani keki ni jamo", Sparta akajiambia kimoyoyo ama kwani anakojoa petrol ati atanijazia kamgitu nikakinde aaaai!!  Azied alaa!"

Sparta akaamua kuzied . "Lakini, mwanaume nikujituma Tena na Tena ikikataa sahii inajipa mabaadae" Sparta akaendelea kujipiga kamortivation apo mdagi mdagi. "Alafu Kwanza vile keki ni item baana walaai ata neza mfanya Maamaa lakini nivile akona kaumama flani apo, lakini kanakunywa gilbeys bana na vile iuwaga expensive bana, na Mimi apa nkona rwabe mbele nyuma na bado ndo Ferrari za kuenda mtaa, saa kakieza niambia nikaspoil neza duh?? Acha Kwanza niite Mamichulo anipige mapointer juu pia yye ni keki na aneza niambia kaa inaweza ama haiwezii."

Oyaa!! Mamichulo, si umuok kiac nikupeleke na rieng flani apo ya teketeke.Wazi nimemuok nipeleke na rada teke-teke Sparta nirudi tamasha baana.

You've reached the end of published parts.

⏰ Last updated: Sep 03, 2022 ⏰

Add this story to your Library to get notified about new parts!

KEKI FLANI APOWhere stories live. Discover now