UTANGULIZI

6 0 0
                                    

Hadithi hii ni ya ubunifu.

Majina yote yaliyotumika na sifa za wahusika hazina uhusiano wowote na mtu yeyote.

UTAMBUZI

Ningependa kuwatamua wote wanaonitia moyo na shime kunoga katika uandishi

Watoto wangu Kim na G ndio chemichemi yangu kutia bidii kwa lolote nilifanyalo maishani.

Mapenzi yao yasiokuwa na kipimo ni bahati kubwa kuwa nao.

Kwa rafiki wangu wa dhati Purity,ambaye siku zote unihimiza nisiache kuandika.

Kwa marehemu kakangu mdogo,mwendazake Frank,dafrao ya kuaga kwako bado yanikaba.

Kwa mashabiki wasomaji;kusoma kwenu ndio msukumo mkubwa kunipatia moyo.

ONYO

Usinukuu wala kutumia maneno yoyote kutoka kwa hadithi bila ruhusa ya mwandishi.


MANTRA CITIWhere stories live. Discover now