Sura Ya Kwanza

1 0 0
                                    

Sumaku.Nchi pekee barani iliyokuwa inakua kwa kasi mno.

Wasumaku walikuwa Na mengi ya kujivunia Na kubwa likiwa sherehe ya Sita Sita.Siku kuu ya Uhuru.Mbeberu aliondoka siku hio.Siku ambayo Wasumaku walianza kujitawala.Miaka sitini ilikuwa imepita tangu aondoke mzungu huyo na kuibariki sumaku iendelee kuwa nzuri.

Sherehe zilikuwa zinatarajiwa kuwa kubwa.Mjukuu wa mwazilishi wa Nchi ndio alikuwa sasa Rais,mkuu na amri jeshi mkuu wa Nchi hivo basi Sumaku baada ya miaka sitini ilikuwa bado kwa mkono mzuri.Mkono wa Babu na mababu wengine,mkono wa waanzilishi wa taifa,mkono wa mashujaa wa kupigania Uhuru.Hakika Sumaku ilikuwa katika mkondo mzuri.Sherehe za "Sumaku at Sixty" zilikuwa kumbukukumbu kwa wananchi wote.

Kila mwananchi alikuwa asherekee kwa siku sita.Ndio likizo ya siku sita.

You've reached the end of published parts.

⏰ Last updated: Jun 04, 2018 ⏰

Add this story to your Library to get notified about new parts!

SUMAKU Where stories live. Discover now