LOVE

7 1 1
                                    

Iko luv me utamani
Ile luv itanipenya ndani
Ile luv me ulilia
Ile luv nkifeel natulia

Ile luv nmekua nkisubiria
Ile luv bae umenitimizia
Swee luv umenionyesha
Umemake my luv dream come true

Hii ndio figure me utamani
Ile figure me huona ndotoni
Nicheck out that precious heart
Niitunze with my life
Nikuonyeshe genuine luv

Atleast ile luv me utamani umenitimizia
Ile luv nkifeel natulia umenipee
Ile luv me ulilia umenionyesha
Imenipenya till you flow in my veins
En u always ring in my mind

©opyright by crabs art int

Crabs poetryWhere stories live. Discover now