Msururu wa hadithi unaozungumzia kudorora kwa haki,ukosefu wa matumaini,dhuluma pamoja na utapeli unaoendeshwa na viongozi dhidi ya wananchi.
Kauli Mbiu ikiwa kuchomoza kwa mwezi usiku wa giza totoro

Hii ni riwaya inayomhusu Mzee Moja ambaye anajinyima starehe,tangu miaka yake ya ubaroro,na kulimbikiza mbegu anayoipanda katika biashara za kujianika juani.
Anapomaliza shule ya msingi,anajiingiza k...