Maya ni daktari aliejikuta katikati ya marafiki wenye wazazi mahasimu.Maisha yake na misimamo yake vilimlazimu kuwa na hikima upole ukatili usiri na ujasiri kwa wakati mmoja ili kuhakikisha haipotezi dhamiri yake.Licha ya kuwa na udhaifu mkubwa wa kupata hofu hadi kuzimia akiona baadhi ya vitulakini siku zote alikuwepo kwaajili ya anaowapenda.Na majuto yalibaki kuwa matokeo kwa baadhi mitihani yake.