Kila tunachopanda leo tutegemee kuvuna kesho , familia ya Khans ilipanda Apple unayawalilipuuza kuvunwa na wengine na kila mmoja akitafuta kujulikana kwa thamani yake . Nani atawaambia watoto hadithi ya baba zao ikiwa kila mtu anampango wa kummaliza mwingine katika jina la mali, hali , pendo na chuki . Damu moja yakinzana yenyewe kwa yenyewe. Ni hadithi ya kufikirika lakini dhamira yakukusudika wengine wakati wanamtafuta wa kumlaumu kati ya Addam na Hawa wengine bado wanalifikiria tunda { Apple }.
7 parts