Suzzanna ni kielelezo cha mtoto msichana wa kiafrika na changamoto anazokumbana nazo maishani.
Ni tumaini kuwa licha ya changamoto hizi pana njia iwepo nia
Suzzanna ni kielelezo cha mtoto msichana wa kiafrika na changamoto anazokumbana nazo maishani.
Ni tumaini kuwa licha ya changamoto hizi pana njia iwepo nia
Hii ni riwaya inayomhusu Mzee Moja ambaye anajinyima starehe,tangu miaka yake ya ubaroro,na kulimbikiza mbegu anayoipanda katika biashara za kujianika juani.
Anapomaliza shule ya msingi,anajiingiza k...